BASIL MRAMBA NA DANIEL YONA WAPATA DHAMANA!!


Mawaziri wa zamani Basil Mramba na Daniel Yona wameachiwa kwa dhamana leo katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu mara baada ya kukamilisha masharti na taratibu zilizokuwa zikitakiwa kukamilishwa ili waweze kupewa dhamana hiyo mawaziri hao wa zamani wanaotuhumiwa kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya shilingi bilioni kumi na moja wamepewa dhamana na kurejea nyumbani mpaka kesi yao itakapotajwa tena.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment