KAT DELUNA
FIESTA 2008 FULL KUJIRAMBAAAA
Msanii mwenye asili ya watu wa visiwa vya dominica nchini Hispania, ambaye ni mzaliwa wa marekani, anatarajia kushuka jijini na kufanya onyesho moja tu katika kilele cha Fiesta 2008 yenye kauli mbiu inayosema ‘JIRAMBEE’.
Waandaaji wakuu katika tamasha hilo ni wale wale Clouds Entertainment wakishirikiana Prime Time, wameazimia kufanya kitu cha tofauti na miaka mingine kama ilivyo kawaida yao, na safari hii wanatarajia kufanya (surprise) ambayo itakuwa ni ya kuburudisha ile mbaya.
Wasanii wapatao 21 wamethibitisha kushiriki kikamilifu katika tamasha hilo kubwa ambalo huadhimishwa kila mwaka, Fiesta 2008, linatarajitarajiwa kufanyika Jumamosi ya tarehe 8 mwezi huu katika viwanja vya Leaders Club maeneo ya kinondoni.
Tamasha hilo ambalo huadhimishwa kila mwaka na awamu hii litawajia kwa hisani kubwa ya kampuni ya Zain na TBL chini ya kinywaji chake maarufu nchini cha Kilimanjaro lager, wasanii watakaokamua na majina yao ni.

1: NGWAIR
2: QJAY
3:MATONYA
4:MWASITTI
5:PROF J
6:MARLOW
7:NAKO 2 NAKO
8:MWANA-FA
9:PROF JAY
10:JOH MAKINI
11:WANAUME TMK
12:WANAUME HALISI
13:DULLY SYKES
14:JAY MOE
15:THT DANCERS
16:ODAMA BAND
17:MAUNDA ZORRO
18:DOGO MFAUME
19:NAKAAYA
20:BUSHOKE
22:MR BLUEA
2: QJAY
3:MATONYA
4:MWASITTI
5:PROF J
6:MARLOW
7:NAKO 2 NAKO
8:MWANA-FA
9:PROF JAY
10:JOH MAKINI
11:WANAUME TMK
12:WANAUME HALISI
13:DULLY SYKES
14:JAY MOE
15:THT DANCERS
16:ODAMA BAND
17:MAUNDA ZORRO
18:DOGO MFAUME
19:NAKAAYA
20:BUSHOKE
22:MR BLUEA
1 comments:
Ndugu yangu, kutafsiri Kiingereza kwenda Kiswahili moja kwa moja wakati mwingine si vizuri. Kisiwa hiki (ni kimoja si vingi kama ulivyoviita) kwa Kiingereza huitwa HISPANIOLA si kwa sababu viko Hispania. Visiwa hivi ziko katikati ya Cuba na Puerto Rico. Hispaniola imegawanyika katika nchi mbili Dominican Republic (Mashariki) na Haiti (magharibi). Hiki kisiwa ni mojawapo ya Visiwa vya Caribbean. Hispania ni nchi ambayo iko Ulaya.
Post a Comment