Mwimbaji mkongwe wa muziki wa taarab, Bi. Kidude akitumbuiza kwa
kuimba huku akipiga ngoma wakati wa onyesho la mitindo ya mavazi la Swahili
Fashion Week lililoshirikisha wanamitindo kutoka nchi mbalimbali Afrika na
kudhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zain Tanzania kwenye ukumbi wa
Diamond Jubilee, Dar es Salaam juzi usiku.
Mwanamitindo wa Tanzania anayefanya shughuli zake Afrika Kusini,
Happiness Magesse akipita jukwaani wakati wa onyesho la mitindo ya mavazi la
Swahili Fashion Week lililodhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Zain
Tanzania kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam juzi usiku.
Mwanamitindo akipita jukwaani wakati wa onyesho la
mitindo ya mavazi la Swahili Fashion Week.
0 comments:
Post a Comment