Ambokile mara baada ya mazoezi.
Hawa ni wachezaji wenzake na Ambokile wakiwa katika mazoezi.
Ambokile akila tizi katika Academy ya BK HCKEN FC CLUB.
Mchezaji kinda wa Tanzania Ambokile George Sozigwa mwenye umri wa miaka 16 amefanikiwa kuiteka soka ya ulaya Baada ya kufanikiwa katika majaribio yake aliyokuwa akiyafanya katika timu za BK Hicken na Helsingbog zote za Sweden ambapo timu ya BK Hacken imeridhika na kuamua kumasainisha mkataba wa miaka mitano kuchezea timu hiyo ya Daraja la pili ambayo kwa sasa inaongoza ligi ya nchi hiyo
Akiongea na FULLSHANGWE Ambokile anasema nimefurahishwa sana na kukubalika kwa kiwango changu katika timu hiyo ambayo nimefanya majaribio kwa muda wa miezi sita, sasa nimerudi nyumbani ili kukamilisha taratibu za uhamisho ambapo mwezi wa kumi nitarejea tena Sweden kwa ajili ya kusaini mkataba wa miaka mitanoTayari kuitumikia Timu yangu mpya.
Ambokile amesema anashukuru kituo chake DYOC Chang`ombe kilichomlea na kumpa mafunzo katika Soka lakini pia shukrani za pekee zimwendee kocha wangu Aluko ambaye amekwa mtari wa mbele katika kutfunza mambo mema na mzuri ili uweze kucheza soka lakimataifa lakini bila kumsahau mama yangu mzazi mungu aendelee kumpa baraka.

0 comments:
Post a Comment