Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji Christopher Sayi(katikati) akielezea leo jijini Dar es salaam juu ya utekelezaji wa malengo ya Wizara yake Dar es salaam katika kipindi cha miaka mitano iliyopita ya Serikali ya Awamu ya Nne. Wengine ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mbogo Futakamba(kulia) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es salaam (DAWASA) Archarch Mutalemwa (kushoto)
Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO-Dar es salaam
0 comments:
Post a Comment