HAWA NDIYO WACHEZAJI WALIOITWA KWENYE TIMU YA TAIFA AKIWEMO JUMA KASEJA BAADA YA KUSOTA MUDA MREFU!!



Wachezaji 27, watakaoingia kambini kwa ajili ya kujiandaa na mchezo kati ya timu ya taifa ya Misri na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ambao wanatarajiwa kuingia kambini siku ya jumatano.
Golikipa wiki hii na majina yao chini ya kocha Jan Paulsen.

Jackson Chove (Azam FC), Shaaban Kado (Mtibwa), Juma Kaseja (Simba)
Fullbacks

Shadrack Nsajigwa (Yanga)
Salum Kanoni (Simb
Stephano Mwasika
Juma Jabu (Simba)
Idrissa Rajab (Sofapaka Kenya)
Center Backs
Nadir Haroub 'Cannavaro' (Yanga)
Kelvin Yondani (Simba)
Erasto Nyoni (Azam FC)
Aggrey Morris (Azam FC)

Midfielders
Nurdin Bakari (Yanga)
Abdulhalim Humoud (Simba)
Henry Joseph (Kongsvinger- Norway),
Uhuru Seleman (Simba)
Abdi Kassim (Yanga)
Jabir Aziz (Azam FC)
Kigi Makasi (Yanga)
Seleman Kassim 'Selembe'
Nizar Khalfan (Vancouver Whitecaps-USA)
Forwards
Mrisho Ngassa (Azam FC)
John Bocco (Azam FC)
Jerson Tegete (Yanga)
Mussa Hassan 'Mgosi' (Simba).
Danny Mrwanda (DT Long An- Vietnam).

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment