WAZIRI MIZENGO PINDA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA!!

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akitembelea mojawapo ya mabanda ya wafanyabiashara wa kutoka China kwenye maonesho ya SabaSaba jijini Dar leo. Kuume ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. William Lukuvi

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment