Muandaaji wa Miss Temeke Ben Kisaka wapili toka kulia akimkabidhi Mkurugenzi wa masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru Tuzo ya shukrani kwa udhamini wao katika shindano la kumtafuta mlimbwende wa Temeke,kulia Miss Temeke Genevivu Emmanuel,Mkuu wa Udhamini wa Vodacom George Rwehumbiza(kushoto)Mshindi wa pili miss Temeke Anna Daud.
TANO BORA YA MISS TEMEKE WATEMBELEA MAKAO MAKUU YA VODACOM TANZANIA!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment