RAIS JAKAYA AKISAINI KITABU CHA WAGENI URAMBO!!

Rais Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuzindua rasmi Ofisi ya Mbunge wa Urambo Mashariki. Aliyesimama nyuma ni Mbunge wa Urambo Mashariki ambaye pia ni Spika wa Bunge Mhe. Samuel Sitta.
(Picha na Owen Mwandumbya) Bunge.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment