MWISHO MWAMPAMBA KATIKA POZI KABLA YA KUINGIA KWENYE MJENGO WA BIGBROTHER!!

Mwisho Mwampamba mwakilishi wa Tanzania kwa mara nyingine tena kutoka mkoani Morogoro katika shindano la Big Brother All Stars lililoanza jana nchini Afrika Kusini, Mwishoni ni miongoni mwa mastaa kutoka nchi mbalimbali za Afrika waliofanikiwa kurudi tena mwaka huu kwenye jumba hilo ambapo mwaka huu mshindi anatarajia kujinyakulia kiasi cha dolla za Kimarekani laki 2.5 sawa na milioni zaidi ya 250 za kitanzania.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment