MWANAMUZIKI DULY SYKES AKILONGA NA WANAHABARI LEO MJINI ZANZIBAR

MSANII DULLY AMBAYE ;LEO JIONI JULY 16 ANATARAJIA KUFANYA ONESHO KWA STAIL TOFAUTI SANA NJIA TOFAUTI ATAKONGA NYOYO WATU WOTE AMBAPO ALISEMA ATAIMBA LIVE PAFOMAS KWA KUTUMIA BENDI YAKE MWENYYEWE AMBAYO NI MPYA
PICHA ZOTE NA BENNETT

MTUNZI WA MASHAHIRI ANAYEITWA MOHAMMED SHABANI (20) AMETUNGA KITABU CHA MASHAIRI KILICHO NA MASHAIRI 40, KINAITWA 'if tomorrow comes'.
kitabu hicho kinapatikana zanzibar nak kipo katika harakari za kupatikana duniani kote na lugha iliyotumiwa ni kiingereza. hapa alikuwa akitambulishwa mbele ya waandishi wa habari katika katika mkutano wa wanahabari ZIFF 201O,,,

Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika mkutano huo leo mjini Zanzibar.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment