MAREHEMU SINGO DESIRE KUZIKWA KESHO BAGAMOYO!!

Marehemu Singo Desire aliyefariki jana alfajiri katika hospitali ya Muhimbili. anatarajiwa kuzikwa jumanne wiki hii huko mjini Bagamoyo.

Marehemu Singo ataagwa kesho saa tano nyumbani kwao Kigamboni ambako ndiko kumewekwa Msiba na ameacha mke na watoto wawili.

Marehemu alianza kuumwa akiwa nchini China mwezi mmoja uliopita ambapo alikuwa akisumbuliwa na uvimbe kwenye kichwa. kwa mawasiliano zaidi wasiliana na dada yake Angella Msangi wa TBC One kwa namba 0782 297408 na 0713 297408 na 0758 297408. Msiba uko Kigamboni kwa mama yake.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment