Mandela International day in Dar es salaam!!

Kaimu Katibu Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa Balozi BEGUM TAJ akiongea leo katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam kuhusu maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela.Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.

Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Afrika kusini nchini Tanzania Bi Carol Rath akizungumza katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaa katika maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela,ambapo baadhi ya waalikwa walichangia mada iliyotolewa na Mhadhiri kutoka UDSM Profesa Chris Peter Maina. Pichani anaefuata waliokaa ni Ni Mhandhiri kutoka chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof. Chris Maina,akifuatiwa na mwakilishi wa UNFPA nchini Dr. Julitta Onabanjo na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Begum Taj.Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
Baadhi ya wanafunzi wa shule za Jijini dar es Salaam wakifuatilia kwa mkini hotuba ya mgeni rasmi katika maadhimisho hayo, leo


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment