Happy Birthday Rahim Bahati Singh!

"Rahim Bahati Singh" Leo ni siku yake ya kuzaliwa 14th July. kama unavyomuona Leo asubuhi alikuwa ananunua pipi za kuwapa washkaji zake pale Indian School. Baba yake anamtakia maisha marefu, afya njema na , elimu bora - I Love U my Son... Says Dad. (Bahati Singh)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment