Wasanii wa kundi la THT la jijini Dar es Salaam wakionyesha umahiri wao katika uzinduzi wa Chuo cha Urembo cha Pure Academy uliofanyika katika Hoteli ya Kilimanjaro jijini Dar es Salaam juzi.

Warembo wakionyesha shoo yao wakati wa uzinduzi wa Chuo Cha Urembo cha Pure Academy cha Jijini Dar es Salaam.Uzinduzi huo ulifanyika juzi.

Wasanii wa THT wakifanya vitu vyao wakati wa ufunguzi wa chuo cha Urembo cha Pure Academy cha Jijini Dar es Salaam, uzinduzi huo ulifanyika juzi.

Mwanamuziki Lawrence Marima Marlow akitumbuiza katika uzinduziwa Chuo cha urembo cha Pure Academy katika Hoteli ya Kenpisk Dar es Salaam.

Baadhi ya wanamitindo wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza kuonyesha shoo ya Uzinduzi wa Chuo cha Urembo cha Pure Academy uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wanamitindo wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza kuonyesha shoo ya Uzinduzi wa Chuo cha Urembo cha Pure Academy uliofanyika jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment