WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII YATOA ELIMU, WIKI YA UTUMISHI WA UMMA MWANZA

Afisa habari Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii bi. Catherine Sungura akitoa zawadi ya vikombe vyenye ujumbe wa "MALARIA HAIKUBALIKI" kwa wanafunzi wa shule ya msingi Kitangili katika banda lao.
Afisa Ustawi wa jamii bw. Ojuku Mgenzi akitoa ufafanuzi kwa wananchi waliofika kutembelea maonesho ya wiki ya utumishi wa umma jijini mwanza.

Bi Rehema Mgombalo afisa wa kitengo cha elimu ya afya kwa umma akitoa maelezo kwa mwananchi alofika kutembelea banda la wizara katika maonesho ya wiki ya utumishi wa umma inayoendelea jijini mwanza.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment