Maracas kwa kushirikiana na Sophie Entertainment wanakuletea LIVE show ya Kidumu siku ya Ijumaa 25/06/2010 itakayofanyika pale Movenpick Royal Palm Hotel DSM kuanzia saa 2 usiku na kuendelea. Tiketi ni Tsh 15,000 tu.Show hii kali ya LAST FRIDAY ya mwezi huu wa sita inaletwa kwenu kwa udhamini mkubwa wa Isham Mobile Phones na Vodacom Tanzania.





0 comments:
Post a Comment