MO Atembelea Chuo Cha Uhasibu Tanzania Tawi la Singida na Kuzindua “VIMBWETA”!

MO akiwa na Viongozi wa Chuo cha Uhasibu akiongozwa na Mkuu wa Chuo Bw.Emmanuel Kingu(wa pili kulia) wakati wa kukagua Majengo ya Chuo hicho(Kushoto) Rais wa Chuo Bw.Evans Crispin(Kulia) Waziri Mkuu wa Chuo Bw.Mbaraka Ismail wakati alipotembelea chuo hicho na kujionea shughuli mbalimbali chuoni hapo mwishoni mwa wiki hii.

MO akizindua Viti Maalum kwa ajili ya kukalia wanafunzi wakati wa Kujisomea”VIMBWETA”.
MO akimkabidhi cheti Waziri wa Wanawake na Maendeleo ya Jamii(TIASO) Mh.Fatuma Hamisi akipokea cheti cha Uongozi bora.

Wanafunzi wa Chuo cha TIASO wakifurahia katika picha na Mh.Mohammed Dewji alipotembelea chuoni kwao.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment