Warembo wako chini ya walimu watatu ambao ni Miss Tanga 2009 Glory Chuwa, Amina Sadiki na Maryam Bandawe Miss Tanga wa miaka mingi iliyopita, huku burudani zikitolewa na Matonya mwana Bongofleva maarufu nchini kutoka mkoani Tanga, Mc Babu Ayubu, Benjamin wa Mambo Jambo pamoja na Ney wa Mitego.
MISS TANGA KUPATIKANA JUNI 19 TANGA BEACH RESORT!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment