(Picha na Mwanakombo Jumaa) -MAELEZO.
Tatizo la ajira ya watoto kutumikishwa katika kuuza biashara badala ya kuendelea na masomo bado linaendelea na linazidi kubwa katika jamii.hivi karibuni nimekutana na watoto hawa mjini Kigoma wakiuza ndizi katika mitaa ya mjini Kigoma badala ya kwenda shule kwa masomo .
MDAU MWANAKOMBO JUMAA NA MATUKIO YA KIGOMA MWISHO WA RELI!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment