MATUKIO YA MJINI DODOMA LEO!!

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Jaji Mkuu, Augustino Ramadhani kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 25, 2010 . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, MizengoPinda akizungumza na Jaji Mkuu, Augustino Ramadhani (katikati ) na Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe (kushoto) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 25, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment