Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Kabwe Zito akichangia leo Bungeni kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka wa Fedha
Baadhi ya maafisa mbalimbali wa Wizara za serikali na mashirika ya umma wakifuatilia hotuba za kamati za Wizara ya Fedha na ychumi kuhusu mpango wa makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2010/2011 zilizowakiliswa leo Bungeni,
Bungeni Dodoma leo!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment