Baada ya kutoka kwenye duka la Shear Illusion waliekekea uwanja wa Uhuru kuipa tafu timu ya taifa ya akina dada wenzao Twiga Stars ambapo timu hiyo iliibanjua bila huruma timu ya Eritrea kwa magoli 8-1 huku ikishangiliwa vyema na warembo hao na mashabiki wengine waliojitokeza kwenye mchezo huo.
Warembo kumi na 15 watapanda jukwaani kuwania taji hilo ,wakisindikizwa na burudani kutoka kwa wasanii kutoka kundi la THT AMIN na BARNABA





0 comments:
Post a Comment