Spika wa Bunge Mhe. Samuel Sitta akionyeshwa
moja ya Vitanda bora na vya kisasa na Daktari mkuu
Professor Yaman Tekant katika hospitali ya ACIBADEM Nchini Uturuki
mara baada ya kutembelea hospitali hiyo jana. Hospitali hiyo
inamilikiwa na makampuni binafsi ya ACIBADEM Health Group ambayo yameonyesha nia ya kuja kufanya utafiti nchini Tanzania kwa ajiri ya kuwekeza katika sekta ya afya. Katikati ni Mhe. Suzani Lyimo Mbunge wa Viti Maalum (Chadema) . (Picha zote na Owen Mwandumbya)
Spika wa Bunge Mhe. Samuel Sitta akitembela hospitali ya ACIBADEM Nchini Uturuki katika ziara aliyoifanya kujionea Teknolojia mbalimbali katika sekta ya Afya nchini humo. Kushoto ni Daktari mkuu
wa Hospitali hiyo
Professor Yaman Tekant na kulia ni
daktari bingwa wa Kansa prof. Dr. ENIS OZYAR ambaye pia alishawahi kufanya kazi katika hospitali ya Ocean Road nchini Tanzania . Hospitali hiyo
inamilikiwa na makampuni binafsi ya ACIBADEM Health Group ambayo yameonyesha nia ya kuja kufanya utafiti nchini Tanzania kwa ajiri ya kuwekeza katika sekta ya afya.

Spika wa Bunge Mhe. Samuel Sitta akionyweshwa
moja ya mitambo ya kisasa ya kutibu kansa kwa njia ya mionzi na Daktari mkuu
Professor Yaman Tekant katika hospitali ya ACIBADEM Nchini Uturuki
mara baada ya kutembelea hospitali hiyo jana. Hospitali hiyo
inamilikiwa na makampuni binafsi ya ACIBADEM Health Group ambayo yameonyesha nia ya kuja kufanya utafiti nchini Tanzania kwa ajiri ya kuwekeza katika sekta ya afya.
0 comments:
Post a Comment