Ujenzji wake utagharimiwa kwa pamoja kwa fedha za Marekani naJamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuagharimu shilingi bilioni 78 za Tanzania kwa kipande chenye urefu wa km 65. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
Katibu mkuu wa Miundombinu Mhandisi Omar Chambo (katikati ) kulia ni Mkurugenzi wa maendeleo Mkoa wa Tanga Paul Chikira pamoja na Mtendaji Mkuu wamfuko wa Changamoto za Milenia nchini Berdard Mchomvu wakanagalia maendeleo ya maandalizi ya uwekaji wa jiwe la msingi litakalo fanyika kesho mkoani Tanga.Picha na Mwanakombo Jumaa-Maelezo.
Sehemu ya ujenzi wa barabara ikionyesha magari yakipita katika barabara hiyo jana.
RAIS JAKAYA KUWEKA JIWE LA UJENZI WA BARABARA YA TANGA- HOROHORO KESHO.
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment