Rais Azindua ujenzi wa Barabara ya Tanga-Horohoro!!

Rais Jakaya Mrisho Kikwete(watatu kushoto), Mtendaji Mkuu wa MCC Bwana Daniel Yohannes(kushoto) na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Alfonso Lenhardt wakishangili muda mfupi baada ya kuzindua uejnzi wa Barabara ya Tanga hadi Horohoro leo mchana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete(watatu kushoto), Mtendaji Mkuu wa MCC Bwana Daniel Yohannes(kushoto) na Balozi wa Marekani nchini Alfonso Lenhardt(wapili) wakifunua kitambaa kwenye jiwe la Msingi kuashiria kuzindua rasmi ujenzi wa Barabara ya Tanga-Horohoro.
Baadhi ya wananchi wa eneo la Mikocheni Tanga wakisalimiana na Rais Jakaya Kikwete wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa Barabara ya Tanga Horo
barabara ya Tanga Horohoro leo mchana(picha na Freddy Maro)

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment