MATATIZO YA BARABARA YA KWENDA MIKOA YA KUSINI HAYA HAPA!!

Picha za Matukio ya kukwama kwa magari ya abiria na mizigo katika eneo la Kijiji cha Malendego wilaya ya Kilwa mkoani Lindi hapo jana kama mpiga picha wetu alivyoyakuta katika eneo hilo na kusababisha kero kwa wasafiri kadhaa wanaotumia barabara kuu ya kutoka Dar es salaam kuelekea mikoa ya kusini. jitihada za Wakala wa wa barabara Tanroads mkoa wa Lindi zimekuwa zikiendelea na wameweza kuleta kijiko na kutatua tatizo hilo na magari kuweza kupita jana hiyohiyo.
Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
Kijiko kikijaribu kurekebisha maeneo korofi katika barabara hiyo ili magari yaweze kupita.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment