MASIKA MWASIKA ALIPOSHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 4!!

Mtoto Masika Mwasika wa shule ya awali ya Genesiss Oysterbay akilisha keki baba yake Aloyce Mwasuka wakati wa sherehe yake ya kutimiza miaka 4 aliyofanya shuleni kwao pamoja na wanafunzi wenzie hivi karibuni.
Timu ya FULLSHANGWE inakupongeza mtoto Masuka kwa kutimiza umri huo tunakutakia mungu akujalie maisha na yenye mafanikio.
Hapa watoto wakigawiwa keki na walimu wao ili nao waionje na kusherehekea pamoja na rafiki yao Masika huku wakionyesha furaha kutokana na tukio hilo.





You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment