Kundi hilo ambalo katika siku za hivi karibuni limejipatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya Bara la Afrika, linatarajia kuwasili nchini kwa mara ya kwanza, kwa mwaliko wa kituo cha Radio cha Times FM, msemaji wao Scholastica Mazula, ambaye ndiye mratibu wa maonyesho hayo, amesema kuwa kundi hilo litafanya maonyesho saba nchini.
Kundi hilo lililo gumzo mjini linaongozwa na Moses Shumba Ratshega Malapelas walirecord album yao hio iliyowapa umaaruf 2007 huko Pretoria, South Africa, wamezungumzia mambo mengi yanayotokea maishani na jina la album linamzungumzia mwanamke asimwaminifu "unfaithful woman".
Nyimbo zingine ktk album hiyo ni Tsabana, Segwenegwene, Sananapo, Mmamotajwa, AIDS, Dikgafela, Ba ntatola na Masaasele Batswana





0 comments:
Post a Comment