KIPINDI CHA PILI KIMEANZA!

Kipindi cha pili ndiyo kieanza muda mfupi dakika kama 3 zilizopita magoli ni 3-1 kila timu inaonyesha uchu wa kujipatia magoli na kama Simba watafanikiwa kupata goli la pili na mpira ukaisha matokeo yakiwa 3-2 itakuwa ni suluhu itakayopelekea matuta au penati.
Lakini kama matokeo yatakuwa hivi yalivyo ina maana simba itakuwa imeyaaga mashindano hayo, tunaendelea kukuletea taarifa mbalimbali za mchezo huo kadiri unavyoendelea.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

1 comments:

  1. Acha uongo 3- simba anaenda.

Post a Comment