HARAKATI HAZIKOMI!

Pole sana na majukumu mazito ya kuendeleza libeneke na kupeleka mbele gurudumula maendeleo ya Taifa letu. Mimi ni kijana wa kitanzania Nipo masomoni nchini India, nimefungua Blog yangu inayohusiana na masuala ya jamii kwa ujumla naitambulushe kwenu wadau Blog yangu inayojikita kujihusha na habari za jamii kwa ujumla ili wanajamii wapate habari na taarifa nyingi na kuifahamu . : http://www.allyshams.blogspot.com/ naomba muitemnbelee na kuona mambo mbalimbali katika blog hiyo.
"Nawasilisha"

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment