Breaking Newzzzzzzzzzzzz

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema timu ya Haras El Hadood inaongoza kwa magoli mawili kwa moja yaliyofungwa katika dakika ya 2 na 11 ya mchezo hata hivyo kuna vitisho vya aina mbalimbali ambapo uwanja huo umejaa wanajeshi ambao ndiyo watazamaji.

Pamoja na hayo wachezaji wa Simba wamebadilika na kuanza kutandaza kandanda safi kadiri muda unavyokwenda na wamepata penati iliyofungwa na mchezaji Emanuel Okwi , hii inaonyesha kuwa bado wanayo nafasi ya kupata magoli kama wataendelea hivyo tunaendelea kuwaletea matokeo hayo kadiri tuanavyoyapata.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment