Pichani kushoto ni rais wa Sri Lanka Mahinda Rajapaska
uchaguzi wa wabunge nchini umeanza nchini Sri Lanka, ukiwa ni uchaguzi wa kwanza tangu serikali kupata ushindi dhidi ya waasi wa Tamil Tigers mwaka jana.
Rais Mahinda Rajapaksa anatarajia ushindi katika uchaguzi huo kuimarisha utawala wake.
Mpinzani wake mkuu, kiongozi wa zamani wa majeshi Generali Sarath Fonseka, yuko rumande, na mwandishi wa BBC nchini Sri Lanka anasema upinzani umegawanyika ambapo hakuna kauli moja ya kuikosoa serikali.
Takriban polisi na askari laki nane wamepelekwa kulinda vituo vya kupigia kura.

0 comments:
Post a Comment