Ni miaka 9 sasa tangu ulipoitwa
na Bwana 12.04.2001, baba yetu mpendwa EMMANUEL ZEBEDAYO MWASUBILA
tunakukumbuka sana kwa upendo,
busara na hekima zako.
Unakumbukwa na mkeo Bertha Mwasubila,
wanao Enock Bwigane , Victoria Ntuli , Edna Nisile na
Allan Mponjoly , Mkweo Miriam Bwigane
na mjukuu wako Aikman Alinanuswe.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa
Jina la Bwana lihimidiwe...Amen
na Bwana 12.04.2001, baba yetu mpendwa EMMANUEL ZEBEDAYO MWASUBILA
tunakukumbuka sana kwa upendo,
busara na hekima zako.
Unakumbukwa na mkeo Bertha Mwasubila,
wanao Enock Bwigane , Victoria Ntuli , Edna Nisile na
Allan Mponjoly , Mkweo Miriam Bwigane
na mjukuu wako Aikman Alinanuswe.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa
Jina la Bwana lihimidiwe...Amen






1 comments:
amen. Naomba kuuliza Marehemu mzee mwasubila ndie alikuwa Baba mzazi wa marehemu Danford mwasubila? kwani kisura wanafanana. mimi nilikuwa na soma na marehemu Danford mwasubila ktk Shule ya Jitegeni sec. school huko same Moshi
Wako NGWANDO
Post a Comment