JK aongoza kikao cha pamoja cha wajumbe wa Halmashauri kuu ya taifa,wenyeviti na makatibu wa CCM wilaya

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua kikao cha pamoja cha wajumbe wa Halmashauri kuu ta Taifa, wenyeviti na makatibu wa CCM wa wilaya uliofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam leo asubuhi.

Baadhi ya wajumbe walihudhuria kikao cha pamoja cha wajumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa,wenyeviti na Makatibu wa CCM Wilaya
(Picha na freddy Maro)


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment