(Picha na Mwanakombo Jumaa wa Idara ya Habari Maelezo)
Hapa akitoka kukagua banda la Kiboko wakati alipotembelea banda hilo leo.
Mkazi huyu wa Kabaha jina lake halikufahamika mara moja ambaye ni mlemavu akiendesha baiskeli yake huku akiwa amempakia mtoto wake nyuma ya baiskeli hiyo wakati alipotembelea mabanda mbalimbali katika maadhimisho ya wiki ya maji yaliyofanyika leo katika kijiji cha Mwendapole Kibaha Mkoani Pwani
Waziri kiongozi Nahodha awa mgeni rasmi kilele cha wiki ya maji!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment