Nashukuru wahusika wote walikuwa wanafuata maelekezo yangu vizuri mpaka leo hii tukiwa nusu tuu ya movie nzima.Kwa upande wa camera man Razack Ford yeye amesema movie hii ndiyo watu watamjua kuwa yeye si camera man wa kuchezea kwani wapenzi wataona wenyewe quality ya picha ilivyo nzuri kwani yeye ni bora kwa kuseti camera na mtaalam wa kutumia stead cam
Dr. Cheni na Irene wakiwa kazini hebu wacheki mdau
Waigizaji mahiri wa Filamu hapa Bongo,Irene Uwoya na Dr Cheni wakiigiza moja ya Filamu itakayokuwa ya aina yake iitwayo MR DREAMS,ambayo inashutiwa na kampuni mahiri ya Rj Productions ikiongozwa na Ray a.k.a The Greatest.Ukitaka kujua kuhusiana na mambo lukuki juu ya Filamu hiyo na mambo mengi mengineyo ya wasanii wa Filamu na uandaaji wake basi
Raymond kigosi aka Ray na Razack Ford waizungumzia The Dreams!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment