NIMRI KUADHIMISHA MIAKA YAKE 30 MKOANI ARUSHA!!

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Uchunguzi wa magojwa ya Binaadamu (NIMR) Dr. Mwele Malecela (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini leo kuhusu Mkutano Mkuu wa pamoja wa Sayansi (JOINT SCIENTIFIC CONFERENCE ) pamoja na sherehe za miaka 30 ya NIMR zitakazofanyika Mkoani Arusha wiki ijayo na kufunguliwa na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Prof. David Mwakyusa. Mwingine ni Mkurugenzi wa Teknohama na Mawasiliano wa NIMR,Dkt. Leonard Mboera. Picha na Mwanakombo Jumaa-Maelezo.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment