(Picha na Clarence Nanyaro wa Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein na balozi wa Tanzania nchini UIngereza Mwanaidi Sinare Maajar wakizungumza na mmoja wa waalikwa walioshiriki katika chakula cha kuchangia fedha za kuimarisha miundombinu ya Hospitali ya Bugando,Chuo cha Udaktari Bugando na Udhamini wa wanafunzi wanaosomea udaktari chuoni Bugando katika hoteli ya mariot London.
Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akizungumza na Mzee Rajan ambaye ndiye alikuwa mhisani Mkuu wa chakula cha jioni kilichaandaliwa katika hotel ya Mariot jijini London kwa lengo la kukusanya fedha za kuimarisha mindombinu ya Hospitali ya bugando pamoja na chuo cha Udaktari cha Bugando.
MAKAMU WA RAIS DR. SHEIN ASHIRIKI HARAMBEE YA KUCHANGIA HOSPITALI YA BUGANDO!!
Posted by
ADMIN
You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment