FIVE STAR MOLDEN TAARAB MZIGONI!!

Five Star Molden Taarab wakifanya vitu vyao kwenye ukumbi wa Equator Grill Mtoni kwa Azizi Ali usiku wa kuamkia leo kama unavyowaona waimbaji wa kundi hilo linalotamba katika muziki huo jijini Dar.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment