Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Luteni Kanali (Mstaafu) Issa Machibya (kulia) akipeana mikono na Meneja wa Zain anayeshughulikia masuala ya Kijamii, Tunu Kavishe, wakati akipokea msaada wa, vyandarua magodoro na vifaa vingine vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 20, kwa ajili ya waathirika wa mafuriko wilayani Killosa. Makabidhiano hayo yaliyoshuhudiwa na mkuu wa wilaya ya Kilosa, Halima Dendegu (Kulia) na wafanyakazi wa Zain kutoka kanda zote nchini, yalifanyika wilayani humo mwishoni mwa wiki.ZAIN YAWAPA MSAADA WAHANGA WA MAFURIKO KILOSA!!
Posted by
ADMIN
Mkuu wa mkoa wa Morogoro, Luteni Kanali (Mstaafu) Issa Machibya (kulia) akipeana mikono na Meneja wa Zain anayeshughulikia masuala ya Kijamii, Tunu Kavishe, wakati akipokea msaada wa, vyandarua magodoro na vifaa vingine vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 20, kwa ajili ya waathirika wa mafuriko wilayani Killosa. Makabidhiano hayo yaliyoshuhudiwa na mkuu wa wilaya ya Kilosa, Halima Dendegu (Kulia) na wafanyakazi wa Zain kutoka kanda zote nchini, yalifanyika wilayani humo mwishoni mwa wiki.You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment