Kampuni ya simu za mikononi ya Zain Tanzania leo mchana imemkabidhi gari jipya pichani aina ya Toyota Land Cruizer Bw.Willfred Maleko (28) Mkazi wa Mbezi ambaye yupo kwenye kitengo cha Utafiti mifumo wa Taifa Bima ya Afya,Willfred amezawadiwa gari hiyo baada ya kuibuka mshindi kwenye promosheni ya Ongea Uzawadiwe na Zain katika makao makuu ya Kampuni ya hiyo Kijitonyama jijini Dar es salaam .WILLFRED MALEKO ASHINDA GARI KATIKA PROMOSHENI YA ZAIN!!
Posted by
ADMIN
Kampuni ya simu za mikononi ya Zain Tanzania leo mchana imemkabidhi gari jipya pichani aina ya Toyota Land Cruizer Bw.Willfred Maleko (28) Mkazi wa Mbezi ambaye yupo kwenye kitengo cha Utafiti mifumo wa Taifa Bima ya Afya,Willfred amezawadiwa gari hiyo baada ya kuibuka mshindi kwenye promosheni ya Ongea Uzawadiwe na Zain katika makao makuu ya Kampuni ya hiyo Kijitonyama jijini Dar es salaam .You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment