WARSHA YA WAJIBU WA VYOMBO VYA HABARI KUELEKEA UCHAGUZI!!

Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dunstan Tido Mhando (kushoto) akidalishana mawazo na Mkuu wa Sauti ya Ujerumani kanda Afrika na Mahariki ya Kati Ute Schaeffer (kulia) wakati wa majadiliano juu ya wajibu wa vyombo vya habari kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Majadiliano hayo yameandaliwa na Sauiti ya Ujerumani.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment