naomba umtoe huyu kijana katika blog yako ili apate msaada kwa watanzania wenzake anasumbuliwa na ugonjwa wa ajabu mguu unavimba kila siku na hospitali wamemshauri aende akatibiwe nje ya nchi, familia yake haina uwezo wa kumpeleka huyu kijana tuomba watanzania woote wenye moyo na uwezo wakumsaidia huyu kijana
Hiii ni historia fupi ya huyu kijana
ANAITWA NURDIN LULANGA AMEZALIWA MWAKA 1990 DAR ES SALAAM TANZANIA, HIVYO ANA MIAKA 19.
HISTORIA YA UGONJWA HUU ILIANZA WAKATI KIJANA HUYU AKIWA DARASA LA 6 (SITA NA ILIKUWA NI MAUMIVU YA KAWAIDA TU YA MGUU JUU YA GOTI NA INAFIKIA MDA MWINGINE ANASHINDWA HATA KUTEMBEA.
MAUMIVU HAYO YALIKUWA YANAENDELEA NA KUACHA NA BAADA YA MDA UKAANZA KUVIMBA TARATIBU NA BAADA YA KWENDA KUCHUKUA VIPIMO VYA X-RAY IKAONEKANA KAMA MFUPA ULIKUWA UNALIKA TARATIBU.
BAADA YA KUFIKA FORM SIX (2009 MAY) TERM YA KWANZA MGUU ULIVIMBA GHAFLA KWA KASI YA AJABU NA NDIO IMESABABUSHA ASHINDWE KABISA KUTEMBEA HUU SASA NI MWENZI WA 9 YUKO TU NYUMBANI.

AMESHAPIMA FULL BLOOD PICTURE,ABSOMEN, BONE SCAN (OCEAN ROAD) N.K LAKINI HAKUNA KIPIMO KILICHOONYESHA DIRECT ANAUMWA UGONJWA GANI MADAKTARI WAMETUSHAURI TUMPELEKE NJE YA NCHI NA FAMILIA HAINA UWEZO HUO JAMANI NDUNGU WATANZANIA TUNAOMBA MSAADA WENU ILI TUMSAIDIE HUYU KIJANA KATIKA UGONJWA HUU
NATANGULIZA SHUKURANI ZANGU ZA DHATI
KWA YEYOTE ATAKAE GUSWA NA HILI TATIZO NAMBA ZA SIMU NI
0712 677 977 NURDIN (MGONJWA MWENYEWE)
0715 247 460 MAMA WA NURDIN
0754 247 460
0784 753 312 NA
0773 464 833 KAONEKA (MJOMBA WA MGONJWA)

0 comments:
Post a Comment