Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Alhaj Mussa Salum( Wa pili kushoto)akitangaza kwa Waandishi wa Habari kuhusu siku ya Maulid ambayo itakuwa siku ya mapumziko tarehe 27/02/2010 kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo mjini Dar es Salaam leo. (Picha na Anna Itenda wa MAELEZO.)





0 comments:
Post a Comment