mdhibiti na mkaguzi wa Hesabu za Serikali alonga!!

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Ludovick Utouh (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jana kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma juu ya matokeo ya taarifa ya ukaguzi katika Wizara ya Elimu na usafi wa mazingira. Kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Mwantumu Mahiza.Picha Zote na Tiganya Vincent-MAELEZO-Dodoma.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment