Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto) akisalimiana na baadhi ya kundi la walimu kutoka wilayani Mbozi jana mjini Dodoma ambao walitembelea Ofisi za Bunge kwa ajili ya kujifunza uendeshaji wa vikao vya Bunge la Tanzania. Katikati ni Kaimu Ofisa Elimu wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Vwawa wilayani Mbozi jana mjini Dodoma Beatha Fidelis , kushoto ni Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Mbeya Hilda Ngoye na nyuma ya Waziri Mkuu ni Mbunge wa Jimbo la Mbozi Mashariki (CCM) Godfrey Zambi .
Balozi wa Marekani nchini Alfonso Lenhardt (kulia) akiata maelezo kutoka Mfanyabiashara wa biadhaa za Alovera Cecylia Mosha (kushoto) juzi jioni katika viwanja vya Bunge la Tanzania juu ya matumizi mbalimbali ya biadha tofauti za Alovera. Katikati ni Ofisa wa Bunge Neema Kiula. Balozi huyo yupo kwa ajili ya shughuli mbalimbali za zinazoendela leo.
1 comments:
KWA NINI ATUMIE NENO ALOE VERA AMBALO NI NENO LA KILATINI BADALA YA KUTUMIA NENO "SHUBIRI". SHUBIRI NI DAWA YA KIAFRIKA. ETI ALOE VERA. JIKOMBOE DADA. EMANCIPATE YOURSELF FROM MENTAL SLAVERY!!!!
Post a Comment