Mjumbe wa Umoja wa Wabunge wa Bunge la Tanzania kutoka Zanzibar ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Donge (CCM) Ali Ameir Mohamed (kushoto) akitoa tamko jana mjini Dodoma kwa waandishi wa habari la kuunga mkono wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wa CCM Zanzibar la kuunga mkono hoja binafsi ya Kiongozi wa Upinzani Aboubakar Khamis Bakari ya kutaka kuwepo na Serikali ya Umoja wa Kitaifa Tanzania Visiwani.
Picha zote na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dodoma
Picha zote na Tiganya Vincent- MAELEZO- Dodoma
Mawaziri wa Maji na Umwagiliaji Profesa Mark Mwandosya (kulia) akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Konde Dkt Ali Tarab Ali (kushoto) mara baada ya kipindi cha mawaswali na majibu kumalizika jana asubuhi katika Mkutano wa Bunge unaoendelea mjini Dodoma. Katikati ni Mbunge wa Jimbo la Micheweni Shoka Khamis Juma.
0 comments:
Post a Comment