MAKAMU WA RAIS DR.MOHAMED SHEIN AZINDUA MRADI WA MAJI SONGEA!!

Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Ally Mohame Shein akizindua mradi wa maji safi na usafi wa Mazingira leo Mjini Songea kwa kufunua pazia, mradi huo umegharimu jumla ya shilingi bilioni 33.2 mpaka kukamilika kwake na umefadhiliwa na serikali ya Ujerumani.

You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment