LUDOVICK UTOH AKITETA NA SPIKA SAMWEL SITTA!!

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Ludovick Utoh (kulia) akiteta jambo jana na Spika wa Bunge la Tanzania Samwel Sitta mara baada ya Ofisi ya Mdhibiti huyo kukabidhi msaada wa vitendea kazi Kamati Tatu za Bunge zinazojihusisha na hesabu vyenye thamani ya shilingi milioni 169.9 .
Picha zote na Tiganya Vincent-Dodoma


You liked this post? Subscribe via RSS feed and get daily updates.

0 comments:

Post a Comment